Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Mbeya, Dk.Samweli Lazaro (katikati) na jaji Mkuu wa mashindano ya Safari Nyama Choma, Lawrence Salvi (kulia) wakimkabidhi zawadi ya Kombe na fedha taslimu Shilingi milioni moja(1,000 000) mpishi Mkuu wa New City Pub, Geofrey Mwashilindi mara bada ya kuibuka mabingwa wa mashindano ya Safari Nyama Choma 2014 yaliyojanyika katika Viwanja vya CCM Ilomba Mkoani Mbeya mwishoni mwa wiki .Wapili kulia ni Meneja wa bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo na Meneja wa Tawi la TBL Kanda ya Kusini, Vivianus Rwezahula.
Mpishi Mkuu wa New City Pub, Geofrey Mwashilindi akishangilia na kitita cha Shilingi milioni moja(1,000 000) mara baada kibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma 2014 kwa Mkoa wa Mbeya yaliyofanyika CCM Ilomba mwishoni mwa wiki .Kutoka kulia ni Jaji Mkuu wa mashndano hayo, Lawrence Salvi,Meneja wa bia ya Safari Lager Oscar Shelukindo, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Mbeya, Sameli Lazaro, Meneja wa Tawi la Tbl Kanda ya Kusini, Vivianus Rwezahula na Meneja mauzo na matukio Tbl Mbeya, Clauds Chawene
Mpishi Mkuu wa New City Pub, Geofrey Mwashilindi akishangilia na kitita cha Shilingi milioni moja(1,000 000) na Kikombe mara baada kibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma 2014 kwa Mkoa wa Mbeya yaliyofanyika CCM Ilomba mwishoni mwa wiki.Kutoka kulia ni Jaji Mkuu wa mashndano hayo, Lawrence Salvi,Meneja wa bia ya Safari Lager Oscar Shelukindo, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Mbeya, Sameli Lazaro,Meneja wa Tawi la Tbl Kanda ya Kusini, Vivianus Rwezahula na Meneja mauzo na matukio TBL Mbeya.
Mashabiki wa New City Pub wakiwa wamembeba juu mpishi mkuu wa pub hiyo, Geofrey Mwashilindi mara baada ya kuibuka bingwa katika mashindano ya Safari Nyama Choma 2014 kwa Mkoa wa Mbeya yaliyofanyika katika viwanja vya CCM Ilomba mwishoni mwa wiki.
Mashabiki na wapishi wa New City Pub wakishangila ndano ya gali lao aina ya Pic up yenye namba za usajili T952 BFB wakielekea kwenye Pub yao mara baada ya kuibuka mabingwa wa Safari Nyama Choma 2014 yaliyofanyika katika viwanja vya CCM Ilomba mwishoni mwa wiki.
TOT Bendi ya Mkoani Mbeya wakitoa Burudani.
Wadau
Wakazi wa jiji la Mbeya wakifata Safari Lager
New City Pub wakisepa.
No comments:
Post a Comment