Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika Moshi. Wa nne kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Utekelezaji, Crescentius Magori ambaye alishiriki katika mbio za kilometa 21. Wa pili kulia ni Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Kilimanjaro, Delphina Masika.
Wanachama na wadau mbalimbali wa NSSF wakiwa medali zao baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro Marathon 2014 zilizofanyika Moshi, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori.
Washiriki wa mbio za kilometa 21 za Kilimanjaro Marathon 2014 wakimaliza mbio hizo zilizofanyika mjini Moshi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori
Wanachama na wadau wa NSSF wakirurahia zawadi zao pamoja na wafanyakazi wa Shirika hilo, wa pili kulia ni Crescentius Magori.
Baadhi ya washiriki wa mbio hizo.
Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi la Hifadhi ya Jamii (NSSF), mkoa wa Kilimanjaro wakijiandaa na mbio hizo.
Wadau wa NSSFwalioshiriki mbio hizo.
Wanachama na wadau mbalimbali wa NSSF wakiwa na zawadi zao.
Na sisi tumeshiriki mbio za Kill marathon 2014.A
No comments:
Post a Comment