Mkataba wa Kroos unamalizika Mwaka 2015 lakini hadi sasa amekataa kusaini Mkataba mpya na Bayern.
Alipoulizwa kuhusu hatima yake na Bayern, Kroos alijibu: “Hakuna uamuzi uliofanyika. Si Siri Ligi Kuu England inawezekana!”
Hata hivyo, Meneja wa Bayern Munich, Pep Guardiola, amemshauri Kroos kubaki Bayern na kumwahidi atakuwa Mchezaji bora chini yake.
Hadi sasa Man United haijatoa tamko lolote kuhusu Toni Kroos.
Kroos cakishangilia alipowashona bao Arsenal kwenye Champions Ligi
No comments:
Post a Comment