
Siku inayofuata, Jumatano, pia zitakuwepo Mechi mbili kwa Real Madrid kucheza na Borussia Dortmund huko Santiago Bernabeu Jijini Madrid na Paris Saint-Germain kuikaribisha Chelsea huko Jijini Paris, France.
Timu hizi zitarudiana Wiki inayokuja, Jumanne Aprili 8 na Jumatano Aprili 9.
UEFA CHAMPIONS LIGI
ROBO FAINALI
Robo Fainali
Mechi za Kwanza
[Saa 3 Dak 45 Usiku]
Jumanne Aprili 1
Barcelona v Atletico Madrid
Manchester United v Bayern Munich
Jumatano Aprili 2
Real Madrid v Borussia Dortmund
Paris Saint-Germain v Chelsea
UEFA CHAMPIONS LIGI
ROBO FAINALI
Robo Fainali
Marudiano
[Saa 3 Dak 45 Usiku]
Jumanne Aprili 8
Chelsea v Paris Saint-Germain
Borussia Dortmund v Real Madrid
Jumatano Aprili 9
Bayern Munich v Manchester United
Atletico Madrid v Barcelona
-DROO YA NUSU FAINALI: 11 Aprili
-Mechi kuchezwa 22 & 23 Aprili na Marudiano 29 & 30 Aprili
-FAINALI: Estádio da Luz, Lisbon, Portugal 24 Mei 2014.
No comments:
Post a Comment