BUKOBA SPORTS

Monday, March 31, 2014

WACHEZAJI WA BAYERN MUNICH WAKIFANYA MAZOEZI KUJIWEKA FITI, TAYARI KWA MTANANGE WA KWANZA WA UEFA NA MAN UNITED OLD TRAFFORD KESHO JUMANNE.


Mchezaji hatari wa Bayern Munich Franck Ribery na Arjen Robben kwenye mazoezi leo Jumatatu, Tayri kukutana uso kwa uso na Manchester United kwenye mtanange wa kwanza wa michuano ya UEFA Champions ligi.

Shaqiri (katikati) aliisawazishia Jumamosi na kuweka sare ya 3-3 dhidi ya Hoffenheim kwenye Ligi ya Bundesliga
Shaqiri akishangilia siku hiyo ya Jumamosi

Kocha Mkuu Pep Guardiola (katikati) akiwacheki vijana wake leo Jumatatu kwenye mazoezi
Bastian Schweinsteiger kesho anatarajiwa kucheza England dhidi ya Manchester United

No comments:

Post a Comment