BUKOBA SPORTS

Friday, March 7, 2014

VODACOM PREMIER LEAGUE: RATIBA NA MSIMAMO WAKE. JUMAMOSI NI PATASHIKA COASTAL v ASHANTI, MBEYA CITY v RHINO RANGERS! JUMAPILI: PRISONS v SIMBA, JKT RUVU v MTIBWA!


Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inaendelea kesho (Machi 8 mwaka huu) kwa mechi tatu ambapo Coastal Union itaumana na Ashanti United kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
Ruvu Shooting itaikaribisha Oljoro JKT kwenye Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwania wakati Mbeya City itacheza na Rhino Rangers kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.
Mechi za Jumapili (Machi 9 mwaka huu) ni Tanzania Prisons na Simba kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya, na JKT Ruvu na Mtibwa Sugar zitacheza Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam.

JUMAPILI: PRISONS v SIMBA, JKT RUVU v MTIBWA! 
MSIMAMO ULIVYO MPAKA SASA: 
Vodacom Premier League VPL 2013/2014
Rank
Teams
Played Wins Draw Lost GD Goal score Points
1 Azam FC 18 11 7 0 23 35 40
2 Yanga SC 17 11 5 1 29 41 38
3 Mbeya City 20 9 9 2 8 24 36
4 Simba SC 20 9 8 3 17 38 35
5 Kagera Sugar 20 7 8 5 2 18 29
6 Coastal Union 19 5 10 4 5 14 25
7 Ruvu Shooting 19 6 7 6 -5 21 25
8 Mtibwa Sugar 19 6 7 6 0 23 25
9 JKT Ruvu 20 7 1 12 -14 16 22
10 Prisons FC 17 3 8 6 -3 15 17
11 Mgambo Shooting 19 4 5 10 -17 11 17
12 JKT Oljoro 20 2 9 9 -15 14 15
13 Ashanti UTD 19 3 5 11 -19 15 14
14 Rhino Rangers 19 2 7 10 -11 12 13

No comments:

Post a Comment