BUKOBA SPORTS

Friday, April 11, 2014

CHEKA, MIYEYUSHO WAPIMWA UZITO NA WAPINZANI WAO KUTOKA IRAN NA THAILAND TAYARI KWA MAPAMBANO YAO KESHO PTA

Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa Jumamosi ya Aprili 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es Salaam.

Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba kushoto ni bondia Gavad Zohrehvand wa Iran. Picha kwa hisani ya superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Sukkasem Kietyongyuth kushoto akiwa na kocha wake Win Panyaparichot wakati wa upimaji uzito

No comments:

Post a Comment