BUKOBA SPORTS

Thursday, April 24, 2014

EUROPA LEAGUE: SEVILLA 2 v VALENCIA 0


SEVILLA 2 vs VALENCIA 0
Bao 2 za Kipindi cha Kwanza za Stephane M'Bia, Dakika ya 33, na Carlos Bacca, Dakika ya 36, wakicheza kwao Estadio Ramon Sanchez Pizjuan, Jijini Sevilla, zimewapa Klabu ya Sevilla ushindi wa Bao 2-0 dhidi ya Valencia ambao ni wenzao wa La Liga huko Spain.
Timu hizi zitarudiana hapo Mei Mosi huko Estadio Mestalla, Mjini Valencia.

Sevilla wakishangilia bao zao za Stephane Mbia na Carlos Bacca walizoshinda kipindi cha kwanza
Stephane Mbia alifunga bao la kuotea katika dakika ya 33

Majanga!!! Valenica Javi Fuego aifanya ndivyo sivyo kwa kumvuta jezi Carlos Bacca

Carlos Bacca katikati ya wachezaji wawili wa Valencia

No comments:

Post a Comment