BENFICA 2 vs JUVENTUS 1
Benfica, wakicheza Uwanja wa Nyumbani Estadio da Luz, Mjini Lisbon, Ureno, walianza kwa moto na Kona ya Dakika ya Pili ilizaa Goli la kichwa cha Garay na Bao hilo kudumu hadi Mapumziko.
Juve walisawazisha kwenye Dakika ya 73 kwa Bao la Carlos Tevez lililosukwa vizuri na ushirikiano wa Marchisio na Asamoah.
Lakini Benfica walipata Bao la Pili na la ushindi katika Dakika ya 84 kwa Shuti safi la Lima.
VIKOSI:
Benfica: Artur Moraes, Maxi Pereira, Luisao, Garay, Siqueira, Markovic, Perez, Gomes (Ivan Cavaleiro 82), Rodrigo, Cardozo (Lima 62), Sulejmani (Andre Almeida 60).
Subs Not Used: Oblak, Ruben Amorim, Djuricic, Jardel.
Booked: Gomes, Artur Moraes, Andre Almeida.
Goals: Garay 2, Lima 84.
Juventus: Buffon, Caceres, Bonucci, Chiellini, Pirlo, Lichtsteiner, Pogba, Marchisio, Asamoah, Tevez (Osvaldo 83), Vucinic (Giovinco 65).
Subs Not Used: Storari, Ogbonna, Llorente, Barzagli, Padoin.
Booked: Pogba.
Goals: Tevez 73.
Ref: Cuneyt Cakir (Turkey)
No comments:
Post a Comment