
Kwenye mazoezi, Wachezaji wa Man City wakijifua kujiweka sawa na mtanange na Liverpool

Frii kiki ndio iliyopelekea majeraha Vincent Kompany kuumia

Vancent Kombany chini....

Majanga!!!

Kesho ni mtanange wao na Liverpool ....itakuwaje bila Vincent Kompany?

No comments:
Post a Comment