
Mshindi Sophia Masei akiwa na katika Picha ya pamoja na mshindi wa pili kushoto Panieli Reonald na mshindi wa tatu kulia Nai Mkwavii mara baada ya kutangazwa ka matokeo hayo usiku wa kuamkia leo pale katika ukumbi wa Kilimani Landmark Dodoma

Twanga Pepeta walikuwepo kusindikiza Fainali za mashindano hayo katika Ukumbi wa Kilimani Landmark Dodoma

Jopo la Majaji waliotoa maauzi ya kumata mshindi wa Reds Miss UDOM 2014


Mshindi wa Miss UDOM mwaka jana alikuwepo kumvisha taji Mshindi wa Mwaka huu











Meneja wa Makampuni ya Shabiby Bus Service David akikabidhi zawadi ya Pesa Taslimu za Kitanzania kwa Mshindi wa Kwanza wa Reds Miss UDOM 2014 Sophia Masei

Waandaji wa Mashindano hayo pamoja na Wadhamini wakiwa katika picha ya pamoja na Warembo mara baada ya kutangazwa mshindi


Washindi katika pozi la pamoja



No comments:
Post a Comment