BUKOBA SPORTS

Sunday, April 13, 2014

LA LIGA: REAL MADRID 4 vs ALMERIA 0, BILA STAA CRISTIANO RONALDO, REAL YAWAADHIBU ALMERIA KICHAPO CHA MBWA MWIZI NA KUPANDA NAFASI YA PILI!.

Wakicheza bila ya Staa wao mkubwa, Cristiano Ronaldo, ambae ni majeruhi, Real Madrid Usiku wameitambuka Barcelona na kufungana kwa Pointi na Vinara wa La Liga Atletico Madrid baada ya kuichapa Almeria Bao 4-0.
Kabla ya Mechi hii ya Real, Barcelona walicheza Ugenini nakufungwa bao 1-0 na  Granada.
Matokeo haya yamezifanya Aletico na Real kukamatana wote wakiwa na Pointi 79 na kufuatia Barcelona wenye Pointi 78 huku Timu zote zimecheza Mechi 33 na kubakisha 5.

Bao za Real Madrid zilifungwa na Angel Di Maria, Dakika ya 28, Gareth Bale, Dakika ya 53, Isco, Dakika ya 56 na Morata, Dakika ya 85.

MSIMAMO ULIVYO KWA SASA TIMU ZA JUU:
2013/2014 SPANISH PRIMERA DIVISIÓN TABLE


OVERALLHOMEAWAY
POSTEAMPWDLFAWDLFAWDLFAGDPts
1Atletico Madrid32254370221430469111324134879
2Real Madrid332544943214025414114240186279
3Barcelona332535922715015911103433166578
4Athletic Bilbao32178755351132351665520192059
5Sevilla FC3215895947934332065526271253


LA LIGA
RATIBA:
Jumapili Aprili 13

13:00 Betis v Sevilla
18:00 Valencia v Elche
20:00 Getafe v Atletico Madrid
22:00 Espanyol v Rayo Vallecano

Jumatatu Aprili 14
23:00 Athletic Bilbao v Malaga

No comments:

Post a Comment