Valcke ambaye atafuatana na maofisa wengine saba wa FIFA baadaye leo hii (Mei 1 mwaka huu) atakuwa na mkutano na waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika saa 4 kamili asubuhi kwenye hoteli ya Double Tree by Hilton iliyopo Oysterbay, Dar es Salaam.
Wednesday, April 30, 2014
KATIBU MKUU FIFA JEROME VALCKE KUTUA DAR LEO HII MEI 1! KUFUNGUA SEMINA YA CECAFA, KUONGEA NA WANAHABARI!
Valcke ambaye atafuatana na maofisa wengine saba wa FIFA baadaye leo hii (Mei 1 mwaka huu) atakuwa na mkutano na waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika saa 4 kamili asubuhi kwenye hoteli ya Double Tree by Hilton iliyopo Oysterbay, Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment