FULL TIME: SWANSEA CITY 0 vs CHELSEA 1, DEMBA BA AIRUDISHA BLUES KWENYE MBIO ZA UBINGWA!
Demba Ba aliwaokoa Chelsea kama alivyofanya alipopiga Bao la Pili walipocheza na PSG na kuibeba Chelsea kutinga Nusu Fainali ya Uefa Champions Ligi, Leo hii alipiga Bao pekee la Mechi hii katika Dakika ya 68 na kuipa Chelsea ushindi wa Bao 1-0 na kuwaacha Pointi 2 nyuma ya Vinara Liverpool.Mohamed Salah akivuta pumzi baada ya kukosa bao la waziChico akioneshwa Kadi nyekunduChico Flores akitoka nje ya Uwanja baada ya kupewa kadi nyekundu na mwamuzi Phil Dowd
No comments:
Post a Comment