BUKOBA SPORTS

Wednesday, April 30, 2014

FULL TIME: UEFA CHAMPIONS LEAGUE...CHELSEA 1 v ATLETICO MADRID 3, (Agg. 1-3). SASA NI PATASHIKA FAINALI!!! COSTA AIBEBA ATLETI KUWAFUATA MAJIRANI ZAO REAL FAINALI!!! ITAKUWA NI DERBY YA NGUVU LISBON!!!

Lisbon-bound: Diego Costa (left) celebrates with teammate Koke after scoring a penalty to make it 2-1Chelsea ndio walianza kupata bao usiku huu kwenye Nusu Fainali marudiano, Chelsea wakiwa kwao Stamford Bridge. Dakika ya 36 Fernando Torres aliipachikia bao Chelsea baada ya kuunganisha krosi iliyopigwa na César Azpilicueta na mabeki wa Atletico kujichanganya na kipa wao kushindwa kuuona mpira huo langoni mwake.
Dakika ya 44 Atletico Madrid wanasawazisha bao kwa kuweka 1-1 kupitia kwa mchezaji wake Adrián akipata krosi iliyowashinda kuzuia wachezaji wa Chelsea kutoka kwa Juanfran. 

Diego Costa anaipatia bao la pili kwa mkwaju wa penati na kufanya 2-1 dhidi ya Chelsea. Baadhi ya wachezaji wa Chelsea wakiwa hoi baada ya kichapo!Oops: Samuel Eto'o holds his hands in the air after he brought down Diego Costa to give away a penaltyEto'o ndie aliemwangusha Diego Costa kwenye eneo la penati No mistake: Costa scores from the penalty spot during the Champions League semi-finalDiego Costa akichonga penati na kuwafunga Chelsea bao la piliParty time: The Atletico Madrid fans celebrate as their team sets up a final with city-rivals Real
Dakika ya 72 kipindi cha pili Arda Turan anaipachikia bao la tatu Atletico Madrid na akifanya jumla ya bao 3-1 na Agg. ikiwa ni 1-3. Ushindi huu wa Atletico Madrid wanaenda kukutana uso kwa uso Fainali na wenzao Real Madrid mwezi ujao Mei tarehe 24, 2014. Huko Estádio da Luz, Lisbon, Portugal.Adrian Lopez akishangilia bao lake la kusawazisha dakika za mwishoni kipindi cha kwanza.Diego Costa celebrates with Koke after scoring from the spot at Chelsea.Baada ya kuziona nyavu!!!Gutted: Chelsea captain John Terry trudges off the pitch at full-time as Chelsea are knocked out of EuropeJohn Terry hoi...Wheeling way: Atletico's Turkish midfielder Turan celebrates his goal which books his side's final berth3-1, Turan akishangilia bao lake
VIKOSI:
Chelsea starting XI
Schwarzer, Ivanović, Cole, David Luiz, Ramires, Torres, Hazard, Willian, Cahill, Terry, Azpilucueta
Chelsea subs: Hilario, Kalas, Van Ginkel, Oscar, Schurrle, Ba, Eto'o
Atletico Madrid starting XI
Courtois, Torres, Miranda, Godin, Luis, Cardoso, Suarez, Koke, Arda Turan, Adrian, Diego Costa
Atletico Madrid subs: Aranzubia, Alderweireld, Raul Garcia, Cristian Rodriguez, Diego, Jose Sosa, David Villa

No comments:

Post a Comment