BUKOBA SPORTS

Friday, April 11, 2014

LIVE: UEFA CHAMPIONS LEAGUE DRAW - ATLETICO MADRID v CHELSEA, REAL MADRID v BAYERN MUNICH


Europa League semi-final draw:
Sevilla v Valencia
Benfica v Juventus


DROO ya Mashindano makubwa ya Barani Ulaya, UEFA CHAMPIONS LIGI, imefanyika Leo huko Nyon, Uswisi, na Timu za Spain, Real Madrid na Atletico Madrid zimetenganishwa.

Mabingwa Watetezi Bayern Munich wataivaa Real Madrid na Vinara wa La Liga, Atletico Madrid, watapambana na Chelsea.



Real Madrid v Bayern Munich
Atletico Madrid v Chelsea 


Mechi ya Kwanza: 22 & 23 Aprili
Mechi ya Pili: 29 & 30 Aprili 

FAINALI: Estádio da Luz, Lisbon, Portugal 24 Mei 2014.

No comments:

Post a Comment