BUKOBA SPORTS

Tuesday, April 22, 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE - FULL TIME: ATLETICO MADRID 0 vs CHELSEA 0, NGOMA YAWA NGUMU...WATOKA NGUVU SARE!!!


UEFA CHAMPIONS LIGI, LEO Jumanne Usiku kitimutimu kitakuwa ni Mechi ya Kwanza ya Nusu Fainali huko Jijini Madrid Nchini Spain.
Kati ya ATLETICO MADRID vs CHELSEA.


Kipindi cha kwanza kilimalizika kwa 0-0. Pamoja na hayo Chelsea kipa wao Petr Cech  aliumia mapema kipindi cha kwanza na kulazimika kuondolewa nje ya uwanja na nafasi yake ilichukuliwa na kipa wa akiba Mark Schwarzer.
Kipa wa Chelsea  Petr Cech alipoumia akiwa langoni mwake akiwa anaokoa mpira kulia ni Raul Garcia

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho (katikati) akitazama mpira 

No comments:

Post a Comment