Kipindi cha kwanza dakika ya kwanza mapema, West Brom wanapata bao kupitia kwa mchezaji Matej Vydra , Bao la pili limefungwa tena baada ya dakika tatu na Chris Brunt katika dakika ya 4 na dakika ya 31 Stéphane Sessegnon akawafungia bao la tatu na kufanya 3-0.
Bao la kujifunga la West Brom limewapa zawadi ya bao Spurs na kufanya 3-1 baada ya Jonas Olsson kujifunga katika dakika ya 34.
Dakika ya 70 kipindi cha pili Harry Kane anaipachikia bao la pili na kufanya 3-2 baada ya kupata mpira kutoka kwa Aaron Lennon.
Dakika za majeruhi dakika ya 90 mchezaji wa Spurs Christian Eriksen akaisawazishia bao Spurs kwa kufanya 3-3 dhidi ya West Brom walioanza kuifunga mabao Spurs katika dakika za mapema.
LIGI KUU ENGLAND:
RATIBA/MATOKEO
Jumamosi 12 Aprili 2014
Crystal Palace 1 vs Aston Villa 0
Fulham 1 vs Norwich 0
Southampton 0 vs Cardiff 1
Stoke City 1 vs Newcastle 0
Sunderland 0 vs Everton 1
West Brom 3 vs Tottenham 3
Jumamosi 12 Aprili 2014
Crystal Palace 1 vs Aston Villa 0
Fulham 1 vs Norwich 0
Southampton 0 vs Cardiff 1
Stoke City 1 vs Newcastle 0
Sunderland 0 vs Everton 1
West Brom 3 vs Tottenham 3
No comments:
Post a Comment