MMILIKI wa Aston Villa, Randy Lerner, amesema umefika wakati muafaka kwa Klabu hiyo kutafuta njia mbadala baada ya kuiweka Sokoni kuiuza Klabu hiyo.
Lerner, ambae ni Mfanyabiashara wa Kimarekani alieinunua Villa Mwaka 2006 kutoka kwa Doug Ellis ambae aliimiliki Villa kwa muda mrefu, ameamua kuiuza Klabu hiyo baada Msimu huu kumaliza ikiwa Nafasi ya 15 kwenye Ligi Kuu England.
No comments:
Post a Comment