BUKOBA SPORTS

Thursday, May 1, 2014

MANCHESTER UNITED KUMTAMBULISHA KOCHA WAO MPYA LOUIS VAN GAAL WIKI IJAYO! WANAUNITED MJIANDAE KUMSAHAU MOYES!!!

Louis Van Gaal kutambulishwa kuwa Meneja mpya wa Manchester United Wiki ijayoNew boss: Louis Van Gaal will be appointed as Manchester United manager next weekLouis Van Gaal 
Patrick Kluivert na Louis van Gaal Old Trafford
Louis van Gaal anatarajiwa kutangazwa mapema wiki ijayo kuwa kocha mpya wa Manchester United baada ya kufikia makubaliano ya mdomo na klabu hiyo, kwa mujibu wa gazeti la Udachi la De Telegraaf.
Gazeti hili lina uhusiano wa karibu na Van Gaal, pia limeripoti kwamba kocha msaidizi wa Uholanzi Patrick Kluivert atakuwa msaidizi wa wa Van Gaal Old Trafford.

No comments:

Post a Comment