MAN CITY MABINGWA ENGLAND MSIMU 2013/2014, NORWICH WANAUNGANA NA FULHAM, CARDIFF KUSHUKA DARAJA!
Hatimaye Manchester City wamefanikiwa kunyakua ubingwa wa England katika siku ya mwisho ya Ligi Kuu, ambapo walikuwa wakihitaji pointi moja tu kutawazwa wafalme. Vijana hao wa Manuel Pellegrini hawakufanya makosa walipoingia uwanjani nyumbani dhidi ya West Ham, kwani Samin Nasri na nahodha Vincent Kompany walihakikisha wanaipatia timu yao mabao, huku ngome ikihakikisha haivuji. Wakati City wakipata ushindi huo.
No comments:
Post a Comment