
Samir Nasri akifunga bao la kwanza dhidi ya West Ham United.
Man City wametwaa Ubingwa wao wa Pili ndani ya Miaka mitatu baada ya kuwafunga West Ham Bao 2-0 katika Mechi yao ya mwisho ya Ligi Kuu England iliyochezwa Uwanjani kwao Etihad na kuhakikisha Kombe hilo la Ubingwa wa England linabaki Jijini Manchester. 
Samir Nasri akishangilia bao lake na Pablo Zabaleta
Nipishe kwanza......
Samir Nasri akipepea pepea baada ya kufunga bao

Samir Nasri akishangilia bao lake na Pablo Zabaleta

Javi Garcia kulia na Matt Taylor

Samir Nasri akiwatawanya mabeki wa West Ham United

Kocha wa West Ham United Sam Allardyce

Mashabiki wa Timu ya Man City wakinyoosha juu Skafu zao, kusherehekea Ubingwa!
No comments:
Post a Comment