KUNDI D la Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil Usiku huu zinaanza Mechi zao za kwanza kwa Uruguay kuivaa Costa Rica huko Estadio Castelão Jijini Fortaleza na kufuatia ule mtanange unaongojewa kwa hamu, England v Italy.
Hali za Wachezaji
Fowadi wa England Danny Welbeck amepona tatizo lake la enka lakini Alex Oxlade-Chamberlain bado hajapona maumivu ya Goti lake aliloumia walipocheza Mechi ya Kirafiki na Ecuador huko Marekani Wiki 2 zilizopita.
Italy huenda wakalazimika kutumia Masentahafu wa 3 nyuma badala ya kusimamisha Difensi ya Mtu 4 baada ya Fulbeki wao Mattia De Sciglio kuumia Pajani.
Lakini habari njema kwa Italy ni zile za Mario Balotelli na Marco Verratti kupata afueni matatizo yao kiafya.
Mlinda Mlango wa Italy Gianluigi Buffon kuukosa mtannange wa England hii leo?
Wote furaha...lakini usiku wote watakuwa na majibu!!
Meneja wa Italy Cesare Prandelli anamatumaini kibao na timu yakeMario Balotelli kwenye mazoezi kujiandaa na mtanange wa Italy mjini Manaus hii leo usiku
Ili ni kombe la Dunia 2014: Kila Mchezaji awe macho
Ciro Immobile k(ushoto) anatarajiwa kuanza dhidi ya England
Balotelli
Andrea Pirlona wenzake wakijifua tayari kwa mtanange usiku huu
Wayne Rooney
Rooney akijifua na wenzake England kujiandaa Vyema na mtanange wa Italy utakaopigwa usiku wa leo Jumamosi.
Tathmini
Matumaini ya England ya mafanikio kwenye Mechi za Kimataifa yanaanza na Kikosi cha Cesare Prandelli, Italy, ambacho ndicho kilichowatoa kwenye Mashindano ya mwisho makubwa huko kwenye michuano ya EURO 2012 walipobwagwa kwa Mikwaju ya Penati.
Kila Timu inatinga ndani ya Arena Amazônia Jijini Manaus ikihofia athari za Joto na hivyo watacheza Soka la tahadhari la kumiliki Mpira ili wasiupoteze ovyo na kupoteza nguvu ovyo kwa kuukimbiza kutaka kuumiliki tena.
Kama ilivyokuwa kwenye EURO 2012, Mpishi mkuu wa Italy ni Mkongwe Andrea Pirlo, ambae sasa ana Miaka 35, na ambae huko Kiev Miaka minne iliyopita alitoa Pasi nyingi kupita Wacheza wote wa Kiungo wa England na kuzunguka umbali mrefu kupita Mchezaji yeyote wa England kwenye Mechi hiyo ya EURO 2012.
Lakini England ya hivi sasa, chini ya Meneja Roy Hodgson, ni ya Chipukizi wengi, kina Daniel Sturridge, Raheem Sterling na Ross Barkley, wakiongezwa nguvu na Wakongwe Steve Gerrard, Frank Lampard na Wayne Rooney.

No comments:
Post a Comment