Bao la Colombia limefungwa mapema dakika ya tano na Pablo Armero baada ya kupata pasi kutoka kwa Juan Cuadrado huku mabeki wa Greece wakibabaika kwenye eneo la kipa wao. Bao hilo likiwa ndilo bao la mapema zaidi tangu Kombe la Dunia lianze juzi Alhamis juni tarehe 12. Bao la pili lilifungwa na Teófilo Gutiérrez katika dakika ya 58 kipindi cha pili, Teo akipewa pasi na A. Aguilar. Dakika za majeruhi zikiwa zimeongezwa dakika 4 James Rodríguez amewamaliza nguvu Greece kwa kuwachapa bao la tatu na kufanya 3-0 dhidi ya Greece baada ya kupewa pasi safi na Juan Cuadrado na mpira kumalizika kwa 3-0, Colombia wakiwa wamejinyakulia pointi 3 muhimu.
Bao la pili limefungwa na Teófilo Gutiérrez dakika ya 58 kipindi cha pili baada ya kupewa krosi safi na A. Aguilar.
Armero (wa pili kushoto) akishangilia bao lake huku akipongezwa na wenzake na wachezaji wa akiba
Armero akimfunga kipa wa Greece
Kipa wa Greece Karnezis hakuona ndani!!
VIKOSI:
Colombia: Ospina, Zapata, Yepes, Sanchez, Armero, Aguilar, Gutierrez, Rodriguez, Cuadrado, Ibarbo, Zuniga
Substitutes: Vargas (GK), Mondragon (GK), Arias, C. Carbonero, Mejia, Balanta, Bacca, Ramos, Quintero, Jackson Martinez, Valdes, Guarin
Greece: Karnezis, Maniatis, Manolas, Samaras, Kone, Salpingidis, Torosidis, Gekas, Sokratis, Cholevas, Katsouranis
Substitutes: Glykos (GK), Kapino (GK), Tzavellas, Moras, Tziolis, Mitroglou, Karagounis, Vyntra, Lazaros, Fetfatzidis, Samaris, Tachtsidis
Referee: Mark W Geiger (United States)
Shabiki wa Colombian akiwa kajipanga vya kutosha muda mfupi kabla ya timu yao kuanza kugawa dozi..
Mpira ni Mashabiki...cheki huyu nae...Balaa!!!

Mashabiki wa Colombia wakitokelezea kabla ya Kipute kuanza
Jezi za timu ya Taifa Greece Jezi za Njano ni za Colombia zikiwa tayari kwa kuvaliwa na kipute kuanza hapa Estadio Mineirao
No comments:
Post a Comment