BUKOBA SPORTS

Saturday, June 14, 2014

RAIS KIKWETE KATIKA TAMASHA LA UZALENDO JIONI HII MJINI DODOMA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii mbalimbali wakati wa Tamasha la Uzalendo na uzinduzi wa Video ya Wimbo Maalum wa Mika 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinazoendelea hivi sasa katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jioni hii. 
Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment