BUKOBA SPORTS

Saturday, July 26, 2014

LALLANA NJE WIKI 6, KUKOSA MCHEZO WA UFUNGUZI KATI YA LIVERPOOL vs SOUTHAMPTON

Liverpool wamethibitisha kuwa Staa wao waliemsaini hivi karibuni, Adam Lallana, ataukosa mwanzo wa Msimu baada kuumia Mazoezini Jana.
Lallana, mwenye Miaka 26, alisainiwa kwa Pauni Milioni 26 mwanzoni mwa Mwezi huu kutoka Southampton kwa Dau la Pauni Milioni 26.
Lallana aliumia mazoezini huko Boston, Marekani ambako Liverpool wamepiga Kambi ya Mazoezi na wanatarajia kucheza Mechi kadhaa za Mashindano ya Guinness International Champions Cup Nchini Marekani.

Mbali ya kusema Mchazeji huyo hahitaji upasuaji, Liverpool hawakusema kama atakuwa nje kwa muda gani lakini inaaminika atakuwa nje si chini ya Wiki 6.
Hivyo ni wazi Lallana atakosa Mechi za ufunguzi za Ligi Kuu England ambapo Liverpool wataanza Nyumbani Anfield kucheza na Klabu ya zamani ya Mchezaji huyo, Southampton.

Ratiba/Matokeo Mechi za Kujipima Kabla Msimu mpya:
16 Julai Brondby 2-1 Liverpool (Peterson)
19 Julai Preston North End 1 Liverpool 2, Deepdale
23 Julai AS Roma 1 Liverpool 0, Boston, USA

Guinness International Champions Cup
27 Julai Olympiacos v Liverpool, Chicago, USA
30 Julai Manchester City v Liverpoo, New York, USA
2 Agosti AC Milan v Liverpool, Charlotte, USA
10 Agosti: Liverpool v Borussia Dortmund, Anfield


RATIBA LIGI KUU ENGLAND MSIMU MPYA 2014/15 MECHI ZA UFUNGUZI 
Saturday 16 August
12:45Manchester UnitedManchester United v. Swansea City Swansea City
15:00Leicester CityLeicester City v. Everton Everton
15:00Queens Park RangersQueens Park Rangers v. Hull City Hull City
15:00Stoke CityStoke City v. Aston Villa Aston Villa
15:00West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion v. Sunderland Sunderland
15:00West Ham UnitedWest Ham United v. Tottenham Hotspur Tottenham Hotspur
17:30ArsenalArsenal v. Crystal Palace Crystal Palace

Sunday 17 August

English Barclays Premier League

13:30LiverpoolLiverpool v. Southampton Southampton
16:00Newcastle UnitedNewcastle United v. Manchester City Manchester City

Monday 18 August

English Barclays Premier League

20:00BurnleyBurnley v. Chelsea Chelsea

No comments:

Post a Comment