Beki huyo kutoka Denmark alijiunga Liverpool Mwaka 2006 na sasa amerudi tena Kwao kwa Dau la Pauni Milioni 3.
Akiwa na Liverpool, Agger aliichezea Klabu hiyo Mechi zaidi ya 200 katika Misimu 9 lakini tangu aje Meneja Brendan Rogers Beki huyo amekuwa hana namba.
Brondby ilimaliza Ligi ya huko Denmark ikiwa Nafasi ya 4 Msimu uliopita.
Agger ameishukuru Liverpool na kusema kurudi kwao Denmark ni uamuzi mzuri kwake katika wakati huu.
Amesema ilipotokea nafasi ya kuondoka Liverpool ni safi sana kwake kurudi kwao kupita kokote.
No comments:
Post a Comment