BUKOBA SPORTS

Saturday, August 30, 2014

TORRES ALIVYOPOKEWA KIFALME AC MILAN

Amewasili: Fernando Torres pichani akiwa na skafu ya AC Milan baada ya kuwasili Jijini Milan kufuatia kujiunga na klabu hiyo kwa mkopo wa miaka miwili kutoka Chelsea Torres akiwa na Mtendaji Mkuu wa AC Milan, Adriano Galliani baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Linate Torres akiwa amezongwa na mashabiki wakati anakwenda kufanyiwa vipimo vya afya kliniki ya Madonnina Mashabiki wakijaribu kupiga picha na Torres Torres akisaini jezi za mashabiki
Mashabiki wakipiga nays picha

Huyu alikwenda na jezi ya Torres enzi za Liverpool ili asinine na mchezaji huyo

No comments:

Post a Comment