KIPA WA QPR JULIO CESAR AJIUNGA NA KLABU YA BENFICA
Benfica wamekamilisha Usajili wa Kipa Brazil Julio Cesar ambaye alikuwa anaidakia timu ya QPR Julio Cesar mwenye miaka 34 alisainiwa na Klabu ya Uingereza QPR mwaka 2012. Julio Cesar akiokoa mkwaju wa penati kwenye Kombe la Dunia
No comments:
Post a Comment