BUKOBA SPORTS

Tuesday, August 19, 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: BASIKTAS 0 vs 0 ARSENAL, ARTETA AUMIA NA KUTOLEWA NJE! RAMSEY APIGWA RED CARD!! BASIKTAS WAKOMAA NA KUPONEA CHUPUCHUPU!!

Demba Ba akiendesha...Ngoma tayari inadunda....Vuta nikuvute sasa...Chupuchupu..!!!



HatareeeMATOKEO YA MECHI NYINGINE ZILIZOCHEZWA USIKU HUU
Salzburg 2 vs 1 Malmo
Steaua Bucharest vs 0 Ludogorets
Besiktas 0 vs 0 Arsenal
Kobenhavn 2 vs 3 Bayer Leverkusen
Napoli 1 vs 1 Athletic
Alexis Sanchez akiendesha kwenda kupasha kabla ya Mtanange kuanza
VIKOSI:
ARSENAL:
Arsenal: Szczesny, Debuchy, Koscielny, Chambers, Monreal, Arteta, Ramsey, Cazorla, Wilshere, Sanchez, Giroud
Subs: Martinez, Bellerin, Miquel, Flamini, Rosicky, Oxlade-Chamberlain & J.Campbell.
BESIKTAS:
Besiktas: Tolga, İsmail, Motta, Ersan, Pedro, Olcay, Veli, Necip, Oğuzhan, Mustafa, Demba Ba
Subs: Gonen, Kurtulus, Sivok, Tore, Koyunlu, Tosun, Boral.
Demba Ba kuondoza mashambulizi...usiku huu.
Arsenal,Basiktas kumenyana usiku huu saa 3:45

Kocha wa Arenal, Arsene Wenger
Beki wa kushoto wa Arsenal, Kieran Gibbs atakosa mechi zote za ligi ya mabingwa dhidi ya Besiktas baada ya kuumia eneo la uvungu wa goti.
Gibbs atakaa benchi kwa takriban majuma matatu baada ya kuumia wakati wa mchuano kati ya Arsenal na Crystal Palace siku ya jumamosi.


Pia mshambualiaji Yaya Sanogo hajasafiri kwenda uturuki kwa ajili ya mpambano wa leo
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema anatamani kupambana na timu zilizo juu zaidi barani ulaya.
Siku ya jumanne Arsenal itacheza mechi ya kwanza dhidi ya Basiktas nchini Uturuki.
Arsenal iliidhidbiti klabu nyingine ya Uturuki Fenerbahce katika hatua ya makundi msimu uliopita.
Likely line-ups: How the teams could take to the field when Arsenal tackle Besiktas in TurkeyVikosi vinaweza kuwa hivi..

No comments:

Post a Comment