BUKOBA SPORTS

Monday, August 25, 2014

LA LIGA: REAL MADRID 2 vs 0 CORDOBA, BENZEMA NA CRISTIANO RONALDO WAFANYA KWELI BERNABEU!

BenzemaBenzema aanza kufungua lango...1-0 Bao hilo lilifungwa dakika ya 30 kipindi cha kwanza.
Bao la pili limefungwa na Cristiano Ronaldo katika dakika za majeruhi dakika 90 baada ya kuachia shuti kali lililomzidi ujanja kipa wa Cordoba.
Ronaldo kwenye patashika..

Ronaldo chini akilalamika!Bale akimiliki mpira..huku akinyemelewa na Matos wa Cordoba

No comments:

Post a Comment