Wachezaji wa Manchester United wakifanya mazoezi leo Ijumaa Tayari kukwaana na Swansea City kwenye Ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi kuu England. Ambapo Mchezaji wa
Manchester United defender Tyler Blackett pichani inasemekana kuanza kesho kwenye kikosi cha wachezaji 11 wa Man United.
Kocha wa Man United Louis van Gaal atakiongoza Kikosi chake katika mechi hiyo huku akiwa na wachezaji kadhaa walioumia ikiwa ni pamoja na Jonny Evans, Luke Shaw, Michael Carrick na Antonio Valencia ambao waliumia wakati wa Ziara.

Blackett alionesha kiwango kizuri wakati wa Ziara kwenye mitanange ya kujipima.
RATIBA MECHI ZA UFUNGUZI - LIGI KUU ENGLAND
Jumamosi Agosti 16
14:45 Man United v Swansea [Old Trafford]
17:00 Leicester v Everton [King Power Stadium]
17:00 QPR v Hull [Loftus Road Stadium]
17:00 Stoke v Aston Villa [Britannia Stadium]
17:00 West Brom v Sunderland [The Hawthorns]
17:00 West Ham v Spurs [Boleyn Ground]
19:30 Arsenal v Crystal Palace [Emirates Stadium]
Jumapili Agosti 17
15:30 Liverpool v Southampton [Anfield]
18:00 Newcastle v Man City [St. James' Park]
Jumatatu Agosti 18
22:00 Burnley v Chelsea [Turf Moor]

No comments:
Post a Comment