Dakika ya 53 kipindi cha pili kapteni wayne Rooney anaisawazishia bao na kufanya 1-1baada ya kupigwa kona na mabeki wa Swansea kujichanganya na hatimaye Rooney kutupia bao kwa tiktaka na ikiwa ni baada ya muda mfupi man United kufanya mabadiliko kwa kutoa 'Chicharito' Hernandez na kuingia Nani. Dakika ya 72 kipindi cha pili Gylfi Sigurdsson ndie aliyewafungia bao la kuongoza Swansea na mtanange kumalizika kwa 2-1 dhidi ya Man United.
VIKOSI:
Kikosi cha Swansea
Fabiański; Rangel, Williams, Amat, Taylor, Ki, Shelvey, Dyer, Sigurðsson, Routledge, Bony.
Akiba: Tremmel, Bartley, Richards, Tiendalli, Montero, Sheehan, Gomis.
Kikosi cha Man United
De Gea, Jones, Smalling, Blackett, Lingaard, Fletcher, Herrera, Young, Mata, Rooney (c), Hernandez
Akiba: Amos, James, M Keane, Fellaini, Kagawa, Nani, Januzaj
No comments:
Post a Comment