Hadi Mapumziko, Liverpool walikuwa Bao 1-0 kwa Bao la Dakika ya 8 la Raheem Sterling.
Kipindi cha Pili, Nahodha wa Liverpool, Steven Gerrard, aliifungia Timu yake Bao la Pili kwa Penati iliyotolewa na Refa Phil Dowd baada ya Joe Allen kuchezewa rafu na Eric Dier.
Bao la Tatu lilifungwa na Alberto Moreno kwenye Dakika ya 60.
Mchezaji mpya wa Liverpool, Mario Balotelli
Mario Balotelli akiwajibika..leo kwenye mtanange wa kwanza na majogoo Liverpool
Steven Gerard akifunga bao lake kwa mkwaju wa penati na likiwa bao la pili katika mchezo huo
Wakipongezana...na kutakiana heri ya mafanikio kwendelea kufanya vyema!
Bao la tatu limefungwa na Alberto Moreno
Alberto Moreno akishangilia bao na kupongezwa na wenzake..
Spurs hoi...kwao!!!
Meneja Brendan akimongeza Mario.
VIKOSI:Bao la Tatu lilifungwa na Alberto Moreno kwenye Dakika ya 60.
Tottenham Hotspur: Lloris, Dier, Kaboul, Vertonghen, Rose, Bentaleb, Capoue, Lamela, Eriksen, Chadli, Adebayor.
Akiba: Chiriches, Holtby, Townsend, Kane, Dembele, Friedel, Davies.
Liverpool: Mignolet, Manquillo, Sakho, Lovren, Moreno, Gerrard, Henderson, Allen, Sterling, Balotelli, Sturridge.
Akiba: Brad Jones, Jose Enrique, Toure, Lambert, Coutinho, Can, Markovic.
Refa: Phil Dowd
No comments:
Post a Comment