Arsenal ndio walitangulia kufunga kwa Bao la Mchezaji wao mpya Alexis Sancheza katika Dakika ya 20 lakini Dakika 2 baadae Leicester walisawazisha kwa Bao la Mchezaji wao mpya Leonardo Ulloa.
Hii ni Mechi ya pili mfululizo kwa Arsenal kutoka Sare kwenye Ligi baada ya Wiki iliyopita kutoka 2-2 na Everton huko Goodison Park.
MATOKEO: LIGI KUU ENGLAND
Jumapili Agosti 31
Aston Villa 2 vs 1 Hull
Tottenham 0 vs 3 Liverpool
Leicester 1 vs 1Arsenal
No comments:
Post a Comment