BUKOBA SPORTS

Sunday, August 31, 2014

MABINGWA BAYERN WASIMAMISHWA NA SCHALKE!

MABINGWA wa Germany Bayern Munich Leo wametoka Sare na Schalke Bao 1-1 katika Mechi ya Bundesliga.
Bayern walitangulia kufunga katika Dakika ya 10 kwa Bao la Robert Lewandowski na Schalke kusawazisha Dakika ya 62 kwa Bao la Benedikt Howedes.
Jana Ijumaa Borussia Dortmund, ikicheza Ugenini, iliichapa FC Augsburg Bao 3-2.
Bao za Dortmund zilifungwa na BV Borussia Dortmund Marco Reus, Sokratis Papastathopoulos na Adrian Ramos wakati Bao za Augsburg zilifungwa na Raul Marcelo Bobadilla na Tim Matavz.


BUNDESLIGA
RATIBA:
Ijumaa Agosti 29

FC Augsburg BV 2 Borussia Dortmund 3
Jumamosi Agosti 30
Bayer 04 Leverkusen 4 Hertha Berlin 2
Hamburger SV 0 SC Paderborn 3
VfB Stuttgart 0 FC Köln 2
SV Werder Bremen 1 TSG Hoffenheim 1
Wolfsburg 2 Eintracht Frankfurt 2
Schalke 1 Bayern Munich 1

Jumapili Agosti 31
FSV Mainz 05 v Hannover 96
SC Freiburg v Borussia Mönchengladbach

No comments:

Post a Comment