
Mechi hiyo ilichezwa bila mashabiki.
Thomas Muller ameipa ushindi Bayern Munich wa bao 1-0 dhidi ya CSKA Moscow kwenye mtanange uliochezwa bila Mashabiki kwenye Uwanja wa Luzhniki.
Kipa wa CSKA Moscow Igor Akinfeev ahakuona ndani shuti kali la mkwaju wa penati wa Thomas
Muller akiziona nyavu za SCKA Moscow
Kipa wa CSKA Moscow Akinfeev akiwa hoi baada ya kufungwa bao kwa mkwaju wa penati.
Baadhi ya wachezaji wa Bayern Munich wakipongezana baada ya kupata bao hilo lililofungwa na Thomas.
No comments:
Post a Comment