Hadi Mapumziko PSG ndio walikuwa mbele ya bao 2-1 dhidi ya Barcelona. kipindi cha pili dakika ya 54 Blaise Matuidi aliwapiga bao la tatu na kufanya 3-1. Barca waliongeza bidii na katika dakika ya 56 Neymar aliwapatia bao Barca kwa ushirikiano safi kutoka kwa Daniel Alves na kufanya 3-2.
Nao Barcelona wanafanya juhudi binafsi na haraka katika dakika ya 11 Lionel Messi anaisawazishia bao kwa kufanya 1-1 baada ya kutokea ushirikiano safi kutoka kwa Iniesta Luján. Dakika ya 26 PSG walipachika bao tena, Bao la kichwa la Marco Verratti baada ya kupigwa kona na Thiago Motta.
Katika Mechi za kwanza za Kundi lao, PSG ilitoka Sare na Ajax na Barcelona kuichapa Apoel Nicosia Bao 1-0.
David Beckham akiteta jambo na Jay Z huku Beyonce nae akiwa karibu yao wakati wa mechi kati ya PSG na Barcelona leo usiku.
Fabio Cannavaro na Meneja wa Ufaransa Didier Deschamps nao walikuwemo Uwanjani kutazama mpira huo
David Beckham
Patrick Kluivert nae alikuwemo ndani ya Uwanja.
RATIBA/MATOKE
Jumanne Septemba 30
KUNDI E
CSKA Moscow 0 vs 1 Bayern Munich
Manchester City 1 vs 1 Roma
KUNDI F
APOEL Nicosia 1 vs 1 Ajax
Paris St-Germain 3 vs 2 Barcelona
KUNDI G
FC Schalke 04 1 vs 1 NK Maribor
Sporting Lisbon 0 vs 1 Chelsea
KUNDI H
BATE Borisovs 2 vs 1 Athletic Bilbao
Shakhtar Donetsk 2 vs 2 FC Porto
No comments:
Post a Comment