UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MANCHESTER CITY 1 vs 1 AS ROMA
Totti alipoisawazishia bap Roma1-1 Manchester City wanapata penati na kufunga bao la kwanza ndani ya dakika 4 kupitia kwa Sergio Aguero. Roma nao walipachika bao la kusawazisha kupitia kwa Francesco Totti katika dakika ya 23 kipindi hicho hicho cha kwanza.Ashley Cole Cole ni mechi yake ya kwanza kucheza England tangu aondoke Chelsea
No comments:
Post a Comment