Demba Ba akishangilia bao lake la penati baada ya kuisawazishia Spurs dhidi ya Besiktas kwa kuweka sare ya 1-1 na kugawana pointi kwenye mchezo wa Europa League hapo kwenye Uwanja wa nyumbani White Hart Lane
Straika wa zamani wa Chelsea Demba Ba ndie aliyefunga penati katika dakika ya 89 na kuiokoa Spurs wakiwa kwao White Hart Lane.
Mashabiki wa Besiktas wakishangilia bao lao kwennye Uwanja wa White Hart Lane
No comments:
Post a Comment