BUKOBA SPORTS

Tuesday, October 28, 2014

FIFA YATANGAZA MAJINA YA MAKOCHA 10 WATAKAOWANIA TUZO YA KOCHA BORA WA DUNIA KWA MWAKA 2014.

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho.

Makocha Carlo Ancelotti ( Real Madrid ), Antonio Conte ( Juventus/Italy ), Pep Guardiola ( Bayern Munich ), Jurgen Klinsmann ( Marekani ), Joachim Low ( Ujerumani ), Jose Mourinho ( Chelsea ), Manuel Pellegrini ( Manchester City ), Alejandro Sabella ( Argentina ), Diego Simeone ( Atletico Madrid) na Louis van Gaal (Holland/Manchester United) wametangazwa na Shirikisho la Soka Ulimwenguni FIFA hii leo kuwania tuzo ya kocha bora wa dunia kwa mwaka 2014.

Katika orodha hiyo kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers hayumo.
Kocha wa Manchester City, Manuel Pellegrini
Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal

No comments:

Post a Comment