BUKOBA SPORTS

Saturday, October 4, 2014

LA LIGA: RAYO VALLECANO 0-2 BARCELONA, LIONEL MESSI NA NEYMAR WAIPATIA USHINDI BARCA UGENINI.

BAO mbili za Lionel Messi katika dakika ya 35 kipindi cha kwanza na lile la haraka baada ya dakika mpja la Neymar dakika ya 36 zimetosha kuwapa Barcelona Ushindi wa pointi tatu huko ugenini kwa Rayo Vallecano.Ushindi huu umewapaisha zaidi kileleni kwa kupata pointi 19 nyuma yao kukiwa na Valencia ambayo inapointi 17 na zote zikiwa zimecheza mechi 7. Rayo Vallecano wapo nafasi ya 10 na wanapointi 8 tu.

No comments:

Post a Comment