BUKOBA SPORTS

Saturday, October 4, 2014

FULL TIME: SIMBA 1 vs 1 STAND UNITED


Kikosi cha Stand United.

Kikosi cha Simba.

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri akishuhudia timu yake wakati ikicheza na Stand United.


Benchi la ufundi la Stand United.

Golikipa wa timu ya Stend United, John Mwenda akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe wakati wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. (Picha na Francis Dande)

John Mwenda akiwapanga wachezaji wake.

Mshambuliaji wa Simba, ibrahim Ajib akiwatoka mabeki wa Stand United.

kipa wa timu ya Stend United, John Mwenda akiukodolea macho mpira uliopigwa na Shaban Kisiga ukiingia wavuni wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliofanyika Uwanja wa Taifa.

Wachezaji wa Simba wakishangilia goli lao.

Wachezajhi wa Stande wakitoka mapumziko.


Wachezaji wa Stand United wakiwa katika chumba cha waandishi wa habari wakati wa mapumziko badala ya kuingia katika chumba maalum kwa ajili ya timu hiyo.

Kocha wa stand United akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.

Mashabiki wa Simba.

Mashabiki wa Simba wakiwa vichwa chini.

Wakifuatilia mchezo huo uku wakiwa hawana matumaini ya ushindi..

Mshambuliaji wa Simba, Amis Tambwe akimtoka beki wa Stand United, Idd Mobby.

Kocha wa Simba akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.

Okwi akitafuta mbinu za kumtoka Iddy Mobby wa Stand United.

Amis Tambwe akipiga kichwa katikati ya mabeki wa Stand United.

Elius Maguri akimtoka beki wa Stand United.

Elius Maguri akiambaa na mpira.

Maguri akiipangua ngome ya Stand United.

Idd Mobby akimdhibiti Emmanuel Okwi.

Beki wa Stand United akimbana Emmanuel Okwi.

Nawatoka hivi.........

Mwamuzi wa mchezo huo, Anthony Kayombo kutoka Rukwa akimuonyesha kadi ya njano John Mwenda.




SIMBA 1 vs 1 STAND UNITED
KIPINDI CHA KWANZA
Simba wako Uwanjani Taifa, Dar es Salaam kucheza na Stand United 
-Dakika ya 16 kipindi cha kwanza bado ni 0-0
- Dakika ya 23 bado Stand United wanashambuliwa tu
- Dakika ya 32 bado ni 0-0
- Kepteni Shahabani Kisiga aliwatoka mabeki na kuwapachikia bao la kuongoza Simba.
-Kheri Mohamed anaiswazishaia bao Stand United katika dakika ya 45 na kufanya 1-1.
"Kipindi cha kwanza kimemalizika, Simba 1 vs 1 Stand United.

KIPINDI CHA PILI
- Kipindi cha pili kimeanza...
- Dakika ya 51 bado ni 1-1
- Dakika ya 80 ngoma bado ni 1-1
-Dakika 90 zimemalizika Simba 1 vs 1
Simba wanatoka Vichwa chini Taifa!! Stand United wanapongezana!!



RATIBA/MATOKEO
Jumamosi Oktoba 4
Polisi Moro 1 v 1 Kagera Sugar
Coastal Union 2 v 1 Ndanda FC
Simba 1 v 1 Stand United
Prisons 0 v 0 AzamFC"
Ruvu Shootings 0 v 0 Mbeya City"


Jumapili Oktoba 5
Yanga v JKT Ruvu
Mtibwa Sugar v Mgambo JKT

No comments:

Post a Comment