Alexis atupia bao la kwanza na kuifanya Arsenal iongoze 1-0 dhidi ya Sunderland dakikaya 30. Arsenal, wakicheza Ugenini huko Stadium of Light, waliichapa Sunderland Bao 2-0. Bao za Arsenal zote zilifungwa na Alexis Sanchez katika Dakika za 30 na 90 na kuifanya Arsenal ichupe hadi Nafasi ya 5.
No comments:
Post a Comment