
Azam FC, Mabingwa Watetezi, wao wako Ugenini huko Mbeya kucheza na Prisons wakisaka ushindi ilikuendelea kubaki kileleni ambako wamefungana Mtibwa Sugar ambayo Jumapili iko kwa Manungu kucheza ma Mgambo JKT.
Jumamosi, Simba wako Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kucheza na Stand United na Uwanja huo huo Jumapili utawaona Yanga wakicheza na JKT Ruvu.
RATIBA: LIGI KUU VODACOM
Jumamosi Oktoba 4
Polisi Moro v Kagera Sugar
Coastal Union v Ndanda FC
Simba v Stand United
Prisons v AzamFC
Ruvu Shootings v Mbeya City
Jumapili Oktoba 5
Yanga v JKT Ruvu
Mtibwa Sugar v Mgambo JKT
No comments:
Post a Comment