ARSENAL 3 vs 0 BURNLEY
BAO la kwanza lilifungwa na Alexis Sánchez kipindi cha pili katika dakika ya 70 na Baadae tu Calum Chambers akaifungia bao la pili katika dakika ya 72 na kufanya 2-0 dhidi ya Burnley. Alexis Sánchez Aliongeza tena bao dakika ya 90.
No comments:
Post a Comment