Chelsea, Leo wamerudi tena kwenye wimbi lao la ushindi kwa kuifunga QPR Bao 2-1 huku bao la ushindi likifungwa na Eden Hazard kwa Penati ya Dakika ya 75 kwenye Mechi iliyochezwa Stamford Bridge.
Chelsea walipata Bao la kwanza Fakika ya 32 Mfungaji akiwa Oscar na QPR kusawazisha Dakika ya 62 kwa Bao la Charlie Austin.
Lakini walishinda Mechi hii baada ya kupewa Penati kufuatia Hazard kuchezewa Faulo na Eduardo Vargas.
No comments:
Post a Comment