BUKOBA SPORTS

Saturday, November 1, 2014

FULL TIME: KAGERA SUGAR 1 vs 0 YANGA

Punde ni kipute kati Kagera VS YangaWachezaji wa Kagera Sugar wakijifua kwenye Uwanja wao wa Nyumbani Kaitaba kabla ya kipute na Yanga jioni hii.Wachezaji wa Kagera Sugar wakifanya mazoezi mepesi mepesi kabla ya mtanange

No comments:

Post a Comment