BUKOBA SPORTS

Saturday, November 8, 2014

MANCHESTER UNITED 1 vs 0 CRYSTAL PALACE, Super Sub JUAN MATA AITUNGUA CRYSTAL OLD TRAFFORD!

Juan Mata aliyeingia kipindi cha kuchukua nafasi ya Januzaj ndie aliyeifungia bao la kwanza United katika dakika 67 kipindi cha pili na kufanya 1-0 dhidi ya Crystal Palace waliokuwa wameishika kooni United tangu kipindi cha kwanza. Ushindi huu wa United unawapandisha kutoka nafasi ya 8 na kupanda hadi nafasi ya 6 wakiwa na pointi 16, Crystal Palace wamebaki nafasi ya 17 wakiwa na pointi 9 tu.Mata scoresJuan Mata akiachia shuti kali kwenye lango la Crystal Palace, Shuti lililomzidi mlinda lango Speroni na kuzama moja kwa moja katika dakika ya 67 kipindi cha pili.Wayne Rooney akiendesha mpira kipindi cha kwanza...Fellaini akimiliki  mpira kipindi cha kwanza.
Kipindi cha kwanza kimemalizika 0-0 kati ya Man United dhidi ya Crystal Palace Uwanjani Old Trafford.Kocha wa Man United Van GaalMichael Carrick nae ndani dhidi ya Crystal Palace
Kabla ya Mtanage
VIKOSI:
Man Utd: De Gea, Valencia, Carrick, McNair, Shaw, Blind, Januzaj, Fellaini, Rooney, Di Maria, Van Persie.
Akiba: Mata, Lindegaard, Ander Herrera, Fletcher, Vermijl, Blackett, Wilson.

Crystal Palace: Speroni, Mariappa, Dann, Delaney, Ward, Puncheon, McArthur, Ledley, Bolasie, Chamakh, Campbell.
Akiba: McCarthy, Doyle, Hennessey, Gayle, Fryers, Bannan, Kelly.
Refa: Chris Foy 

Old TraffordMSIMAMO ULIVYO KWASASA BAADA YA HII MECHI KUMALIZIKA.

No comments:

Post a Comment