BUKOBA SPORTS

Saturday, November 8, 2014

LA LIGA: REAL MADRID 4-1 RAYO VALLECANO. REAL TENA KILELENI!! CRISTIANO RONALDO AKIMALIZIA BAO LA TANO!


Ronaldo akikatiza... Bao za Real zimefungwa na
Gareth Bale ndie aliyeanza kuwafungulia lango katika dakika ya 9, Bao la pili dakika ya 40 likifungwa na Sergio Ramos Toni Kroos dakika ya 55 huku la nne likifungwa na
Karim Benzema katika dakika 59.
Cristiano Ronaldo alifunga bao laini katika dakika ya likiwa bao la tano 83. Bao la pekee la Rayo Vallecano limefungwa Alberto Bueno dakika ya 44 kipindi cha kwanza. Real sasa wanapointi 27 kileleni mbele ya Barca wenye pointi 25. Rayo Vallecano wamekalia nafasi ya 12 wakiwa na pointi 11.

No comments:

Post a Comment